Maktaba ya Kila Siku: October 1, 2020

SERIKALI YAHIMIZA KUKAMILIKA KWA WAKATI KITUO CHA KUPOZA UMEME NYAKANAZI

Kazi ya ujenzi wa kituo cha kupoza umeme Nyakanazi ikiendelea. Taswira hii ilinaswa wakati wa ziara ya Timu ya Serikali inayosimamia Mradi wa Umeme wa Rusumo, kukagua maendeleo ya utekelezaji wake, Septemba 30, 2020. Kituo hicho kinatarajiwa kukamilika Februari, 2021. Serikali imehimiza kukamilishwa kwa wakati, ujenzi wa kituo cha kupoza …

Soma zaidi »

TARURA YATEKELEZA MIRADI YA AHADI ZA RAIS WILAYANI MULEBA

Na. Erick Mwanakulya, Kagera. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), unaendelea kutetekeleza miradi ya Ahadi za Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kukamilisha ujenzi wa Barabara zenye urefu wa Km 2.76 kwa kiwango cha lami katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera. Akizungumza wakati wa ukaguzi …

Soma zaidi »