Maktaba ya Kila Siku: October 6, 2020

USWISS YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA SH. BILIONI 44.1 KWA AJILI YA KUONDOA UMASIKINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (kulia) na Balozi wa Uswiss nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot,wakionesha Mikataba miwili ya msaada wa Faranga za Uswis milioni 17.8 sawa na Sh. bilioni 44.1 kwa ajili ya kugharamia Awamu ya Pili ya Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) …

Soma zaidi »

DKT KALEMANI AAGIZA WANANCHI WAUNGANISHIWE UMEME NDANI SIKU 21

Hafsa Omar-Dar es Salaam Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ametoa agizo kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Wakala wa Nishati Vijijini( REA) pamoja na wakandarasi wote kuhakikisha kuwa wananchi wote waliolipia huduma ya umeme waunganishiwe  umeme ndani ya siku 21. Alitoa agizo hilo Oktoba 5,2020 wakati akiwa kwenye ufunguzi …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIVUKO CHA MAFIA, KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua maendeleo yaujenzi wa Kivuko cha Mafia, kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati,wilayani Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kwenye karakana ya SongoroMarine, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi wa Ufundi, Kampuni ya Songoro Marine, Khalid Songoro, wakati alipokagua …

Soma zaidi »