Maktaba ya Kila Siku: October 8, 2020

SERIKALI KUWATAMBUA NA KUWATUMIA WATAALAMU WA TEHAMA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwelwe (Kushoto), akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la Nne la Mwaka la TEHAMA , Oktoba 7, 2020 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanzisha programu maalum ya kuwatambua, kuwasajili …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU UBUNGO FLYOVER JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia sakafu ya pili (gorofa ya pili) ya barabara za Juu katika makutano ya Ubungo (Ubungo Flyover) jijini Dar es Salaam wakati akielekea Mbezi Louis  kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kituo Kikuu cha Kimataifa cha Mabasi ya …

Soma zaidi »

MRADI HUU NI MATOKEO CHANYA YA MIRADI INAYOFANYA NA SERIKALI – RAIS MAGUFULI

Muonekano wa jengo la kituo kipya cha mabasi wa mkoani linaloendelea kujengwa katika eneo la Mbezi Luis jijini Dar Es Salaam Rais Dkt. John Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika picha na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale mara baada ya kukagua …

Soma zaidi »

MKE WA RAIS WA MALAWI ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA

Afisa Elimu Mwandamizi wa Makumbusho ya Taifa, Bibi Anamary Bagenyi akitoa maelezo kuhusu sanaa za sasa kwa wake wa Marais wa Jamhuri ya Malawi na Tanzania walipotembelea Makumbusho ya Taifa Mhifadhi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Dkt. Amandus Kweka akitoa maelezo kwa Wake wa Marais Malawi na Mama Monica Chakwera …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU ATOA SIKU TATU KWA WIZARA YA KILIMO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa siku tatu kwa Wizara ya Kilimo kukutana na menejenti ya kampuni ya utengenezaji na usambazaji wa mbolea ya YARA ili kuhakiki na kupata ithibati ya mbolea ya bure itakayogawiwa kwa wakulima wadogo nchini kupitia mpango wa Action Africa. Ametoa wito huo (Jumatano, Oktoba 7, 2020) …

Soma zaidi »