Madini ya makaa ya mawe yanayochimbwa mkoani Ruvuma yameingiza zaidi ya shilingi bilioni 400 na kutengeneza ajira za watanzania zaidi ya 700. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema kiasi hicho cha fedha kimepatikana kutokana na mauzo ya madini ya makaa ya mawe zaidi ya tani milioni 3.3 ambayo …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: November 2, 2020
RAIS DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AAPISHWA RASMI
Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Haasan Mwinyi (kulia) kuongoza Zanzibar kwa awamu ya 8 kuanzia 2020-2025 sherehe za kiapo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKABIDHIWA CHETI CHA USHINDI NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NEC MARA BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI KITI CHA URAIS JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Cheti cha Ushindi wa Kiti cha Urais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage mara baada ya kutangazwa mshindi kwa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi …
Soma zaidi »