Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adam Malima (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya (kulia) jana mara baada ya mazungumzo yao Ofisini kwa Mkuu huyo wa Mkoa mjini Musoma. Serikali imezitaka taasisi na mashirika binafsi yanayopokea fedha toka kwa wahisani na wafadhili hususan kutoka nje …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: November 20, 2020
KINONDONI YA ANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI KUHUSU WAMACHINGA
Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Daniel Chongolo kwakushirikiana na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, wameahidi kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara wadogo wadogo ikiwa ni katika utekelezaji wa ahadi ya Rais Dk. John Magufuli yakutaka kundi hilo lipewe kipaumbele katika kutimiza shughuli zao. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akizungumza na …
Soma zaidi »KUBORESHWA KWA VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI WADOGO KUTAWAONGEZEA WIGO WA BIASHARA
Na. Jovina Bujulu-MAELEZO Hivi karibuni Rais John Pombe Magufuli amezindua Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia ushindi wa kishindo alioupata katika uchaguzi wa mwezi Oktoba, ambapo alichaguliwa kuiongoza nchi kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Katika hotuba yake ya uzinduzi, Rais Magufuli alionyesha dira, falsafa, mwelekeo …
Soma zaidi »RUKWA WAZINDUA MSIMU WA KILIMO HUKU ZAIDI YA TANI MILIONI 1.5 ZA MAZAO ZIKITEGEMEWA KUZALISHWA 2020/2021
Wakati mvua zikiendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi, wakulima wa Mkoa wa Rukwa leo tarehe 19.11.2020 wameshuhudia uzinduzi wa msimu wa kilimo wa mwaka 2020/2021 katika hafla fupi iliyofanyika katika Kata ya Ntendo, Manispaa ya Sumbawanga. Uzinduzi huo uliofanywa na mgeni rasmi wa hafla hiyo Mkuu wa Mkoa wa …
Soma zaidi »SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA SEKTA YA NISHATI KWA KASI
Na. Beatrice Saanga-MAELEZO Nishati ni sekta muhimu sana kwa wananchi na maendeleo ya nchi kwa ujumla hususani kuelekea katika uchumi wa viwanda kwa kuhakikisha kuwa umeme wa uhakika unazalishwa na na kuwafikia wananchi walio wengi ili waweze kufikia ndoto zao za kuanzisha na kumiliki viwanda na kuweza kuinuka kuinua kipato …
Soma zaidi »