RUWASA NA DAWASA KUMALIZA KERO YA MAJI BAGAMOYO

 Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo

Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa) na Dawasa wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, wamedhamiria kumaliza kero ya maji kwa wakazi wilaya Bagamoyo , pamoja na Mji wa Vikawe uliopo Kibaha Mji.

Hayo yameelezwa na Kaimu Meneja wa Ruwasa wilayani humo Mhandisi James Kionaumela na Meneja wa Dawasa Judith Singirika, wakikagua miradi hiyo ya ujenzi wa vituo vya kusukumia maji, matenki ya kuhifadhia sanjali na vituo vya kuchotea katika Vijiji vya Kata za Mapinga, Kerege, Yombo, Makurunge na Fukayosi.

Kionaumela alieleza, wilaya ina vyanzo vikuu viwili ambavyo ni maji ya chini ya ardhi yanayopatikana kwa kupitia uchimbaji wa visima, na kwamba kuna visima 215 kati ya hivyo 190 vinatumia pampu ya mikono.

“Kupitia mpango wa malipo kwa matokeo ya (PbR) wilayani hapa iliyoanzishwa kwa sheria namba 5 ya mwaka 2019, imefanya upanuzi wa mradi uliopo Kitongoji cha Chombe Juu kwenda Chamgoi Kata ya Kiromo uliogharimu kiasi cha shilingi milioni 54.2,” .

Ad

Aliongeza kuwa mradi mwingine upo Kitongoji cha Mtoni Kata ya Makurunge unaotekelezwa na (NWF), kwa bajeti ya mwaka wa fedha wa 2019/2020 kupitia wataalamu wa ndani ambao unagharamu kiasi cha shilingi milioni 181.4, ikitumia mafundi wa ndani.

“Sanjali na hayo pia tuna mradi mwingine katika Kitongoji cha Kuluwi kupitia mfuko huohuo wa NWF kwa bajeti ya mwaka 2019/2020, ujenzi huo unagharimu shilingi milioni 229.9, miradi yote kwa ujumla inalenga kuwaondolea adha wakazi wanaoishi katika maeneo yao”, alibainusha Kionaumela.

Nae Meneja wa Dawasa wilaya Judith Singirika alimwambia Kawawa kuwa ujenzi wa tenki katika Kitongoji Kibosha Kata ya Mapinga utakwenda kumaliza kero hiyo katika maeneo ya Vikawe Kibaha Mji, Nyakahamba, Kerege, Kitonga, Kimele, Mingoi ikiwemo Kibosha yenyewe ambapo watu zaidi ya 50,000 watanufaika na huduma hiyo.

“Hapa tunajenga kituo tutachofunga pampu itayosukuma maji kutoka chanzo cha Ruvu chini, pale Vikawe kuna ujenzi wa tenki kubwa linalolenga kuboresha upatikanaji wa maji kwa wananchi wetu katika maeneo tofauti yakiwemo ya Kitongoji cha Nyakahamba kinachokabiliwa na adha hii,” alisema Mhandisi Singirika.

Kawawa alisema , Rais Dkt. John Magufuli ameahidi moja ya vipaumbele vyake ni kushughulikia kero kubwa ya upatikanaji wa maji, ndio maana yeye na wataalamu hao wa Ruwasa na Dawasa wanatembelea wanakagua miradi hiyo ili kujionea inavyoendelea.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

361 Maoni

  1. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

  2. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  3. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  4. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

  5. The road to the Premier League https://english-championship.premier-league-ar.com begins long before a team gets promoted to the English Premier League for the first time

  6. In recent years, the leading positions in the Spanish https://spanish-championship.laliga-ar.com championship have been firmly occupied by two major giants – Barcelona and Real Madrid.

  7. The Italian football championship https://italian-championship.serie-a-ar.com known as Serie A, has seen an impressive revival in recent years.

  8. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

  9. Individuals using corticosteroid inhalers should be advised to rinse their mouths with water after use and expectorate priligy usa 537 OMNIC TECNOQUГЌMICAS 0

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *