Dar es Salaam Wizara ya Viwanda,na Biashara kupitia taasisi yake ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inawakaribisha Watanzania wote kutembelea Maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yatakayoanza tarehe 3 hadi 9 Desemba, 2020. Uanzishwaji wa Maonesho haya yalilenga kuhakikisha Ujenzi wa Uchumi wa Viwanda unakuwa …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: December 2, 2020
SEKTA YA VIWANDA NI MUHIMILI KATIKA KUKUZA UCHUMI WA NCHI
NA Beatrice Sanga- MAELEZO Sekta ya Viwanda ni moja ya sekta zinazochangia pato la Taifa na kutoa ajira kwa wafanyakazi wengi hususan vijana wanaofanya kazi katika viwanda vidogo na vya kati. Sekta hii ina wajibu wa kukuza viwanda ikiwa ni pamoja na kuongeza ujuzi kwa vijana hawa na kuleta mabadiriko ya kiuchumi …
Soma zaidi »RAIS DK.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF IKULU, ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Nd.Shalini Bahuguna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo pamoja na kusalimiana na Mhe.Rais leo (kushoto) Mwakilishi wa Unicef hapa zanzibar Maha Damaj. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la …
Soma zaidi »RC KUNENGE KUKUTANA NA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI DAR DISEMBA 10
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge anatarajia kukutana na Wafanyabiashara na Wawekezaji Jijini humo mnamo Disemba 10 Mwaka huu kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere posta. RC Kunenge amesema lengo la mkutano huo ni kuweka mazingira Bora ya Uwekezaji na biashara ili kila mmoja aweze …
Soma zaidi »