Maktaba ya Kila Siku: December 2, 2020

MAONESHO YA TANO YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA KUFANYIKA KUANZIA TAREHE 3 – 9 DISEMBA 2020

Dar es Salaam Wizara ya Viwanda,na Biashara kupitia taasisi yake ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inawakaribisha Watanzania wote kutembelea Maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yatakayoanza tarehe 3 hadi 9 Desemba, 2020. Uanzishwaji wa Maonesho haya yalilenga kuhakikisha Ujenzi wa Uchumi wa Viwanda unakuwa …

Soma zaidi »

RAIS DK.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF IKULU, ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Nd.Shalini Bahuguna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo pamoja na kusalimiana na Mhe.Rais leo (kushoto) Mwakilishi wa Unicef hapa zanzibar Maha Damaj. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la …

Soma zaidi »