RC KUNENGE KUKUTANA NA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI DAR DISEMBA 10

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge anatarajia kukutana na Wafanyabiashara na Wawekezaji Jijini humo mnamo Disemba 10 Mwaka huu kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere posta.

RC Kunenge amesema lengo la mkutano huo ni kuweka mazingira Bora ya Uwekezaji na biashara ili kila mmoja aweze kunufaika na shughuli anayoifanya.

Aidha RC Kunenge amesema kupitia mazingira Bora ya Biashara na Uwekezaji itarahisisha ukusanyaji mzuri wa Kodi na ongezeko la ajira kwa wananchi.

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUMSHUSHA MAMA NDOO KICHWANI – MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Meneja wa RUWASA Wilaya ya Kilwa, kufanya utafiti wa kina …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.