RAIS WA UFARANSA AMWANDIKIA BARUA RAIS DKT. MAGUFULI

Serikali imesema katika kipindi cha pili cha awamu ya pili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli itajikita zaidi katika kuboresha uwekezaji wa ndani na nje ya nchi na kuimarisha ushiriki wa sekta binafsi katika kujenga uchumi wa nchi.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi ameyasema hayo wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa hapa Nchini na kuongeza kuwa baada ya kipindi cha kwanza cha miaka mitano ya uongozi wa Rais Dkt John Pombe Magufuli kujikita katika uwekezaji mkubwa wa maeneo ya miundombinu na nishati pamoja na huduma za kijamii sasa serikali inalenga kuimarisha ushiriki wa sekta binafsi katika ujenzi wa uchumi

Ad

Balozi wa Ufaransa hapa Nchini Mhe. Frederic Clavier amemkabidhi Prof Kabudi barua ya iliyoandikwa na  Rais wa Ufaransa Mhe Emmanuel Macron  kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kumpongeza kwa kuiwezesha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya muda uliopangwa

Pia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa Nchini Mhe Manfred Fanti ambapo Balozi Fanti ameweleza Waziri Kabudi kuwa  pamoja na kamati ya mambo ya Nje ya Bunge la Umoja wa Ulaya kujadili masuala mbalimbali yanayoihusu Tanzania bado umoja hakuna maazimio yeyote yaliyofikiwa kuhusu Tanzania na kwamba Umoja wa Ulaya utaendelea kuimarisha mahusiano mazuri na ya kihistoria yaliopo kati ya Tanzania na Umoja huo.

Balozi Fanti ameihakikishia Tanzania kuwa Umoja Ulaya utatekeleza  miradi yote iliyopangwa kutekelezwa Nchini kwa ufadhili wa Umoja huo.

Katika tukio jingine Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Msajili wa Mahakama ya Kimataifa ya Kesi Masalia za Mauaji ya Kimbari (International Residual Mechanism for Criminal Tribunals -IRMCT)na Bwana Abubacar Tambadou.

Katika mazungumzo yao Msajili wa Mahakama ya Kimataifa ya Kesi Masalia za Mauaji ya Kimbari (International Residual Mechanism for Criminal Tribunals -IRMCT)na Bwana Abubacar Tambadou amemweleza Waziri Kabudi kuwa amefika kujitambulisha baada ya kupata uteuzi huo lakini pia kuishukuru Tanzania kwa ushirikiano unaoutoa kwa Mahakama hiyo na kuomba kuendelea kutoa ushirikiano ili kuiwezesha kutimiza majukumu yake.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango, tarehe 01 Novemba 2024 ameungana na kuongoza Waombolezaji Katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo,jijini Dar-es-Salaam, kuaga mwili wa marehemu Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali David Bugozi Musuguri

9 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. Совсем недавно открылся новый интернет портал BlackSprut (Блекспрут) https://bs2cite.cc в даркнете, который предлагает купить нелегальные товары и заказать запрещенные услуги. Самая крупнейшая площадка СНГ. Любимые шопы и отзывчивая поддержка.

  3. The fascinating story of Daniil Medvedev’s https://tennis.daniil-medvedev-fr.biz rise to world number one. Find out how a Russian tennis player quickly broke into the elite and conquered the tennis Olympus.

  4. Max Verstappen and Red Bull Racing’s https://red-bull-racing.max-verstappen-fr.com path to success in Formula 1. A story of talent, determination and team support leading to a championship title.

  5. Rodrygo Silva de Goes https://real-madrid.rodrygo-br.com, known simply as Rodrygo, emerged as one of the the brightest young talents in world football.

  6. Nuno Mendes https://paris-saint-germain.nuno-mendes.com, a talented Portuguese left-back, He quickly became one of the key figures in the Paris Saint-Germain (PSG) team.

  7. Brazilian footballer Neymar https://al-hilal.neymar-ar.com known for his unique playing style and outstanding achievements in world football, has made a surprise move to Al Hilal Football Club.

  8. Bella Hadid https://img-models.bella-hadid-ar.com is an American model who has emerged in recent years as one of the most influential figures in the world of fashion.

  9. another thing, the need for hCG in hormone replacement therapy is to maintain your pregnenolone levels priligy cost These Products, including, but not limited to, FLORÉ and the representations regarding the same are subject to these Terms

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *