Maktaba ya Kila Siku: December 7, 2020

BILLION 7.4 ZATUMIKA KUING’ARISHA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA

Na Geofrey A. Kazaula, Katavi. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), kupitia mradi wake wa Uimarishaji wa Halmashauri za Miji – Urban Local Goverement Strengthening Program (ULGSP), umetumia shilingi billioni 7.4 kutekeleza mradi wa ujenzi wa   barabara kwa kiwango cha lami  katika Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda  zenye …

Soma zaidi »

MHANDISI NYAMHANGA ATOA SIKU 14 KUANZA KUTUMIKA KWA KITUO CHA MABASI MBEZI LUIS

Na. Angela Msimbira Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Joseph Nyamhanga ametoa siku kumi na nne kwa viongozi wa Mkoa wa Dar-es-salaam kuhakikisha kituo cha mabasi yaendayo mkoani cha mbezi Luis kinaanza kutumika ifikapo Disema 20,2020Akizungumza wakati wa zoezi la kukagua maendeleo ya …

Soma zaidi »

SERIKALI YAENDELEA KUBORESHA MATUMIZI YA TEHAMA KATIKA SHULE ZA UMMA

Na Faraja Mpina – WUUM Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ulio chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) umetoa mafunzo ya TEHAMA kwa walimu 601 wa shule za umma za msingi na sekondari za Tanzania bara na visiwani. Mafunzo hayo yametolewa katika makundi …

Soma zaidi »

“TUTAENDELEA KUTAFUTA MASOKO YA MAZAO YA BUSTANI ILI KUONGEZA AKIBA YA FEDHA ZA KIGENI” – KUSAYA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya  amemuahidi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa  pamoja na Wadau wa Sekta ya Kilimo cha mazao ya bustani kuwa Wizara ya Kilimo itaendelea kushirikiana na Wizara nyingine kama Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi, Wizara ya Mambo ya Nje …

Soma zaidi »

HAKIKISHENI BIDHAA BANDIA HAZIINGI NCHINI -WAZIRI MKUU MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameziagiza mamlaka zote za udhibiti zihakikishe kuwa bidhaa zinazoingizwa nchini kwa ajili maonesho mbalimbali zinakuwa na viwango vya kimataifa na pia bidhaa zisizo na viwango na bidhaa bandia hazipati nafasi ya kuingia kwenye soko la Tanzania. Hata hivyo, Waziri Mkuu amewataka wamiliki wa viwanda wazalishe bidhaa …

Soma zaidi »

PROF. SHEMDOE AILEKEZA TANTRADE KUANDAA MAONESHO YA BIDHAA ZA VIWANDA KILA ROBO YA MWAKA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe akitoa maelezo ya ufafanuzi muda mchache baada ya ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya taasisi za Serikali pamoja na wamiliki wa viwanda nchini,  05 Desemba 2020 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K Nyerere – Dar es Salaam. …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA HOSPITALI YA UHURU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua umaliziaji wa ujenzi wa Hospitali ya Uhuru unaoendelea katika wilaya ya Chamwino, Dodoma na kuagiza huduma zianze kutolewa ifikapo Desemba 20 mwaka huu. Amekagua hospitali hiyo (Jumapili, Desemba 6, 2020) na amesema vifaa vyote zikiwemo samani, vifaa tiba vinavyotakiwa kuwepo kwenye hospitali hiyo vipelekwe na …

Soma zaidi »

TANZANIA YAUNGA MKONO AZIMIO LA AU KUONGEZA MIAKA 10 YA KUONDOA NA KUTOKOMEZA SILAHA HARAMU

Umoja wa Afrika (AU) umezitaka nchi wanachama wa umoja huo kutilia mkazo azimio la kuondoa na kutokomeza silaha haramu ili kuliondoka na migogoro inayolifanya bara hilo kushindwa kusonga mbele kiuchumi. Akifungua Mkutano wa 14 wa dharura wa Umoja wa Afrika unaofanyika kwa njia ya mtandao (virtual Conference) Mwenyekiti wa Umoja …

Soma zaidi »