WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA HOSPITALI YA UHURU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua umaliziaji wa ujenzi wa Hospitali ya Uhuru unaoendelea katika wilaya ya Chamwino, Dodoma na kuagiza huduma zianze kutolewa ifikapo Desemba 20 mwaka huu.

Amekagua hospitali hiyo (Jumapili, Desemba 6, 2020) na amesema vifaa vyote zikiwemo samani, vifaa tiba vinavyotakiwa kuwepo kwenye hospitali hiyo vipelekwe na vifungwe ili huduma zianze kutolewa.

Ad

“Tunakusudia kumuomba Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli aje kuzindua hospitali hii kabla ya Desemba 30 mwaka huu, hakikisheni vifaa vyote zikiwemo samani na vifaa tiba vinaletwa na kufungwa ili Desemba 20 huduma zianze kutolewa.”

Desemba 3 mwaka huu Rais Dkt. Magufuli aliahirisha maadhimisho ya sherehe za miaka 59 Uhuru zilizotarajiwa kufanyika Desemba 9, 2020 na kuelekeza kiasi cha shilingi milioni 835,498,700 zilizotengwa kwa ajili ya sherehe za hizo zitumike kununulia vifaa mbalimbali kwa ajili ya Hospitali ya Uhuru.

Mbali na ununuzi wa vifaa hivyo, pia Rais Dkt. Magufuli aliagiza fedha hizo zitumike kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa kuzunguka eneo la hospitali hiyo pamoja na ujenzi wa barabara ya kuingilia hospitalini hapo.

Hadi kufikia sasa ujenzi wa hospitali hiyo ya Uhuru umegharimu shilingi bilioni 4.2. Januari 2019 wakati akipokea gawio la hisa za kampuni ya Simu ya Airtel Rais Dkt. Magufuli aliagiza kiasi cha shilingi 2,415,151,650.00 zilizotolewa na kampuni hiyo zitumike katika ujenzi wa hospitali hiyo.

Novemba 20, 2018, Rais Dkt. Magufuli aliagiza kiasi cha sh. milioni 995,182,000.00 zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 57 ya Uhuru zitumike kujenga Hospitali ya Uhuru, ambayo kwa sasa ujenzi wake upo katika hatua za umaliziaji.

Kauli mbiu ya maadhimisho ya 59 ya Uhuru kwa mwaka huu inasema; ‘Miaka 59 ya Uhuru na Miaka 58 ya Jamhuri: Tanzania yenye Uchumi Imara Itajengwa na Watanzania Wenyewe, Tufanye Kazi kwa Bidii, Uwajibikaji na Uadilifu.’

Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Binilith Mahenge aliishukuru Serikali kwa uboreshaji wa huduma za afya mkoani Dodoma ukiwemo ujenzi wa hospitali hiyo ya Uhuru, ambapo ameiomba iwaongezee wataalamu wa afya.

Alisema mahitaji ya wataalamu wa afya wakiwemo madaktari katika mkoa ni 2,505 huku waliopo ni wataalamu 1,767, hivyo ameomba Serikali iwasaidie kutatua changamoto hiyo kwa kuajiri wataalamu wa kutosha katika sekta hiyo.

Pia, Dkt. Mahenge amesema Hospitali ya Benjamin Mkapa inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa nyumba za wataalam, ambapo aliomba msaada wa ujenzi wa nyumba hizo ili kuwawezesha watoa huduma hao kuwa na makazi karibu na hospitali.

Ad

Unaweza kuangalia pia

TRENI YA MCHONGOKO YAANZA SAFARI KWA KISHINDO DAR – DOM

Treni ya Umeme ya Kisasa (EMU) ya Reli ya Kisasa (SGR) nchini Tanzania ni sehemu …

120 Maoni

  1. Mohamed Salah https://liverpool.mohamedsalah-ar.com an Egyptian footballer, rose to fame through his outstanding performances at Liverpool Football Club.

  2. Yacine Bounou https://al-hilal.yassine-bounou-ar.com known simply as Bono, is one of the most prominent Moroccan footballers of our time.

  3. Harry Kane https://bayern.harry-kane-ar.com one of the most prominent English footballers of his generation, completed his move to German football club Bayern Munich in 2023.

  4. N’Golo Kante https://al-ittihad.ngolokante-ar.com the French midfielder whose career has embodied perseverance, hard work and skill, has continued his path to success at Al-Ittihad Football Club, based in Saudi Arabia.

  5. Cristiano Ronaldo https://al-nassr.cristiano-ronaldo.ae is one of the greatest names in football history, with his achievements inspiring millions of fans around the world.

  6. Muhammad Al Owais https://al-hilal.mohammed-alowais-ar.com is one of the most prominent names in modern Saudi football. His path to success in Al Hilal team became an example for many young athletes.

  7. Kevin De Bruyne https://manchester-city.kevin-de-bruyne-ar.com is a name every football fan knows today.

  8. Khvicha Kvaratskhelia https://napoli.khvicha-kvaratskhelia-ar.com is a name that in recent years has become a symbol of Georgian football talent and ambition.

  9. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  10. Kylie Jenner https://kylie-cosmetics.kylie-jenner-ar.com is an American model, media personality, and businesswoman, born on August 10, 1997 in Los Angeles, California.

  11. Sadio Mane https://al-nassr.sadio-mane-ar.com the Senegalese footballer best known for his performances at clubs such as Southampton and Liverpool, has become a prominent figure in Al Nassr.

  12. Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.

  13. Monica Bellucci https://dracula.monica-bellucci-ar.com one of the most famous Italian actresses of our time, has a distinguished artistic career spanning many decades. Her talent, charisma, and stunning beauty made her an icon of world cinema.

  14. Zinedine Zidane https://real-madrid.zinedine-zidane-ar.com the legendary French footballer, entered the annals of football history as a player and coach.

  15. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  16. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  17. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

  18. The road to the Premier League https://english-championship.premier-league-ar.com begins long before a team gets promoted to the English Premier League for the first time

  19. By employing an amyloid ОІ expressing fruit fly model, Wang et al generic priligy Performance of the classifier computed by LOOCV was assessed using Kaplan Meier survival curves and log rank p values

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *