RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI ALIOWATEUA KATIKA IKULU YA CHAMWINO, DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Mawaziri pamoja na Manaibu Waziri katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Mawaziri pamoja na Manaibu Waziri katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha George Boniface Taguluvala Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Cpt. Mst. George Huruma Mkuchika kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora) katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha William Vangimembe Lukuvi kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Picha namba 3. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jenister Joakim Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu) katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ummy Ally Mwalimu kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Joyce Lazaro Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Selemani Said Jafo kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Medard Matogolo Kalemani kuwa Waziri wa Nishati katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Doto Mashaka Biteko kuwa Waziri wa Madini katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Elias John Kwandikwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la KujengaTaifa (JKT) katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jumaa Hamidu Aweso kuwa Waziri wa Maji katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile kuwa Waziri wa Mawasiliano naTeknolojia ya Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Prof. Adolph Faustine Mkenda kuwa Waziri wa Kilimo katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Kitila Alexander Mkumbo kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji) katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Dorothy Onesphoro Gwajima kuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapongeza Mawaziri na Naibu Mawaziri baada ya kuwaapisha Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 9, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapongeza Mawaziri na Naibu Mawaziri baada ya kuwaapisha Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 9, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapongeza Mawaziri na Naibu Mawaziri baada ya kuwaapisha Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 9, 2020
Mawaziri wanawake baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 9, 2020. Kuotoa kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Dkt Dorothy Gwajima, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Waziori wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa viongozi wengine katika picha ya pamoja na Mawaziri baada ya kuwaapisha Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 9, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa viongozi wengine katika picha ya pamoja na Mawaziri na Naibu Mawaziri baada ya kuwaapisha Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 9, 2020

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUMSHUSHA MAMA NDOO KICHWANI – MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Meneja wa RUWASA Wilaya ya Kilwa, kufanya utafiti wa kina …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.