Maktaba ya Kila Siku: December 10, 2020

WAZIRI UMMY MWALIMU KUSIMAMIA MASUALA YA MUUNGANO NA MAZINGIRA YANAYOGUSA MAISHA YA WANANCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na Menejimenti ya Ofisi yake (hawapo pichani) mara baada kupokelewa rasmi katika Ofisi za Makamu wa Rais katika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, …

Soma zaidi »

BASHUNGWA NA ULEGA WAFIKA OFISINI NA KUANZA KAZI RASMI MUDA MCHACHE BAADA YA KUAPISHWA

Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (kulia) akimkaribisha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Innocent Lugha Bashungwa alipowasili ofisini Mji wa kiserikali Mtumba Dodoma muda mchache baada ya ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Soma zaidi »