BASHUNGWA NA ULEGA WAFIKA OFISINI NA KUANZA KAZI RASMI MUDA MCHACHE BAADA YA KUAPISHWA

Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (kulia) akimkaribisha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Innocent Lugha Bashungwa alipowasili ofisini Mji wa kiserikali Mtumba Dodoma muda mchache baada ya ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. tarehe 09 Desemba 2020.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Innocent Lugha Bashungwa (wapili kushoto) akiwa katika picha na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (kushoto), Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Abdallah Hamis Ulega (wapili kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Ally Possi (kulia) baada ya kuwasili ofisini Mji wa kiserikali Mtumba Dodoma muda mchache baada ya kuapishwa katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. tarehe 09 Desemba 2020.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Innocent Lugha Bashungwa akisaini kitabu kwa ajili ya kuanza kazi rasmi alipowasili Ofisini kwake Mji wa kiserikali Mtumba Dodoma muda mchache baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. tarehe 09 Desemba 2020.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (kushoto) akiwakaribisha na kuwatambulisha kwa watumishi na wafanyakazi wa wizara hiyo, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Innocent Lugha Bashungwa (katikati) na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Abdallah Hamis Ulega (kulia) baada ya kuwasili ofisini Mji wa kiserikali Mtumba Dodoma muda mchache baada ya kuapishwa katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. tarehe 09 Desemba 2020.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Innocent Lugha Bashungwa akiongea na watumishi na wafanyakazi wa wizara ya ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo katika kikao cha kuwakaribisha yeye na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Abdallah Hamis Ulega) baada ya kuwasili ofisini Mji wa kiserikali Mtumba Dodoma muda mchache baada ya kuapishwa katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. tarehe 09 Desemba 2020. (Picha na Eliud Rwechungura)
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI, WIZARA YA MAMBO YA NJE YA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kuagana na …

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.