Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Menejmenti na Watumishi wa Idara ya Mazingira kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira katika kikao Kazi cha siku tatu kilichoanza Disemba 10, 2020 Jijini Dodoma. kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalim. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Menejmenti na Watumishi wa Idara ya Mazingira kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira katika kikao Kazi cha siku tatu kilichoanza Disemba 10, 2020 Jijini Dodoma. kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalim.