MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA NEMC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Menejmenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais na Watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)   katika siku yake ya pili ya kikao Kazi kinachoendelea leo Disemba 11, 2020  Jijini Dodoma. kushoto ni Naibu  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mwita Waitara.
 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Ad

Unaweza kuangalia pia

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WOMENLIFT HEALTH

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Maelezo kutoka kwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *