WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MENEJIMENTI YA OFISI YA WAZIRI MKUU JIJINI DODOMA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko akimkabidi taarifa ya Utekelezaji Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya kupokelewa rasmi katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko akimkabidi taarifa ya Utekelezaji Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Patrobas Katambi wakati wa kikao hicho.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko akikabidhi taarifa ya Utekelezaji kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Wenye Ulemavu) Mhe. Ummy Nderiananga. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba, baada ya kuapishwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma.

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA AHUTUBIA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, tarehe 23 Septemba, 2021 amehutubia …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.