WAZIRI WA UWEKEZAJI PROF. KITILA MKUMBO AKABIDHIWA OFISI RASMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo akiwa kwenye picha ya pamoja na aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki. Kulia ni Katibu Mkuu Ikulu, Dkt. Moses Kasiluka. Kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko.

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA AHUTUBIA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, tarehe 23 Septemba, 2021 amehutubia …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.