KIKAO KAZI CHA KWANZA CHA WIZARA YA NISHATI

Wazari wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) akitoa maelekezo na maagizo mbalimbali katika kikao kazi cha kwanza kilichojumuisha Wakuu wa Bodi, Menejimenti, Idara, Vitengo na Taasisi zilizopo chini ya wizara hiyo kilichofanyika katika ofisi za wizara zilizopo Mji wa kiserikali Mtumba Dodoma leo tarehe 12 Desemba 2020, kulia ni Naibu waziri wa Nishati Mhe. Stephen Byabato. (Picha na Eliud Rwechungura)
Naibu waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akisisitiza baadhi ya vifungu na aya zilizopo kwenye Ilani ya Uchanguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020 -2025 zinazopaswa kutekelezwa na wizara hiyo katika kikao kazi cha kwanza kilichojumuisha Wakuu wa Bodi, Menejimenti, Idara, Vitengo na Taasisi zilizopo chini ya wizara hiyo kilichofanyika katika ofisi za wizara zilizopo Mji wa kiserikali Mtumba Dodoma leo tarehe 12 Desemba 2020
Kikao kazi cha kwanza cha Wizara ya Nishati kilichoongozwa na Wazari wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akishirikiana na Naibu waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato kilichojumuisha Wakuu wa Bodi, Menejimenti, Idara, Vitengo na Taasisi zilizopo chini ya wizara hiyo kilichofanyika katika ofisi za wizara zilizopo Mji wa kiserikali Mtumba Dodoma leo tarehe 12 Desemba 2020.
Wazari wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) na Naibu waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato (kulia) wakifuatialia kwa umakini taarifa mbalimbali wakati wa kikao kazi cha kwanza kilichojumuisha Wakuu wa Bodi, Menejimenti, Idara, Vitengo na Taasisi zilizopo chini ya wizara hiyo kilichofanyika katika ofisi za wizara zilizopo Mji wa kiserikali Mtumba Dodoma leo tarehe 12 Desemba 2020
Naibu waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo wakati wa kikao kazi cha kwanza kilichojumuisha Wakuu wa Bodi, Menejimenti, Idara, Vitengo na Taasisi zilizopo chini ya wizara hiyo kilichofanyika katika ofisi za wizara zilizopo Mji wa kiserikali Mtumba Dodoma leo tarehe 12 Desemba 2020.
Ad

Unaweza kuangalia pia

Mitazamo ya Uongozi ya Mhe. Ummy Ally Mwalimu katika Sekta za Afya, Maendeleo ya Jamii, na Haki za Watoto

Ummy Ally Mwalimu ameonyesha mitazamo ya uongozi yenye mwelekeo wa kujali maendeleo na ustawi katika …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *