Maktaba ya Kila Siku: December 15, 2020

WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MV KILINDONI IKIWEKWA MAJINI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano itaendelea kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ili kuhakikisha inatekelezwa kwa viwango na kuwanufaisha watumiaji. Waziri Mkuu amesema hayo (Jumanne, Desemba 15, 2020) wakati aliposhuhudia uingizwaji majini wa Kivuko cha MV Kilindoni ‘Hapa kazi Tu’ kitakachofanya safari zake kati ya …

Soma zaidi »

RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AZUNGUMZA KWA NJIA YA SIMU NA RAIS WA CHINA XI JINPING

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kwa njia ya Simu na Rais wa China Xi Jinping Ofisini kwake Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 15 Desemba 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kwa njia ya …

Soma zaidi »

NEMC YAONYWA KUTOKUWA KIKWAZO KATIKA UTOAJI WA VIBALI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Ummy Mwalimu ameliagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira nchini kutokuwa kikwazo katika utoaji wa vibali vya mazingira kwa wawekezaji katika kutekeleza miradi ya kimkakati. Amesema hayo hii leo alipokuwa akizungumza na Menejimenti na wafanyakazi …

Soma zaidi »

RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA ULINZI ELIAS KUANDIKWA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amempongeza Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias Kuandikwa kwa uteuzi alioupata na kuahidi kuendelea kushirikiana nae. Rais Dk. Hussein Mwinyi aliyasema hayo leo Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipofanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi …

Soma zaidi »

WAZIRI BITEKO AFUTA LESENI SITA ZA WAFANYABIASHARA WA MADINI CHUNYA

Na, Tito Mselem, Chunya Waziri wa Madini Doto Biteko, amefuta leseni Sita za wafanyabiashara wa madini ya dhahabu ambao wanatuhumiwa kujishughulisha na utorashaji wa madini wilayani Chunya. Watuhumiwa hao, wametakiwa kutojishughulisha na shughuli yoyote ya Madini nchini. Wakati huo huo, Waziri Biteko, ameagiza kuondolewa kwa Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa Madini …

Soma zaidi »

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, DKT.NDUMBARO AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA LINDI KUCHANGAMKIA FURSA ZA UTALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amewataka Wakazi wa Mkoa wa Lindi kuchangamkia fursa za utalii zilizopo katika mkoa huo. Ameyasema hayo wakati alipotembelela Hifadhi ya urithi wa utamaduni  wa Dunia Magofu ya Kilwa Kisiwani na Songomnara ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa na  Rais wa …

Soma zaidi »