Maktaba ya Kila Siku: December 18, 2020

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA KIGONGO – BUSISI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Desemba 18, 2020 amekagua na kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa mradi mkubwa wa daraja la (Kigongo – Busisi) Mkoani Mwanza. Daraja hilo linaurefu wa kilomita 3.2 na barabara unganishi kilomita 1.66 na linagharimu shilingi bilioni 699.2

Soma zaidi »

KIGOMA KUWA KINARA WA UZALISHAJI MICHIKICHI NCHINI – KATIBU MKUU KUSAYA

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe.Thobias Andengenye amesema wamejipanga kuhakikisha agizo la serikali la kuongeza uzalishaji michikichi nchini ambapo wakulima wameanza kupanda aina mpya ya miche ya Tenera yenye kutoa mafuta mengi. Mhe. Andengenye amesema hayo (17.12.2020) wakati alipofanya mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya aliyepo …

Soma zaidi »

WAZIRI MHAGAMA AWAASA WAFANYAKAZI OSHA KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA WELEDI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (katikati) pamoja na wajumbe wa meza kuu wakiimba wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Mkutano wa Baraza hilo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, …

Soma zaidi »