WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA KIGONGO – BUSISI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Desemba 18, 2020 amekagua na kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa mradi mkubwa wa daraja la (Kigongo – Busisi) Mkoani Mwanza.

Daraja hilo linaurefu wa kilomita 3.2 na barabara unganishi kilomita 1.66 na linagharimu shilingi bilioni 699.2

Ad
Ad

Unaweza kuangalia pia

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WOMENLIFT HEALTH

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Maelezo kutoka kwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *