Maktaba ya Kila Siku: December 21, 2020

TARI NALIENDELEA KUONGEZA UZALISHAJI WA ZAO LA KOROSHO MKOANI RUKWA

Bodi ya Korosho Tanzania kwa ushirikiano na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kituo cha Naliendele Mkoani Mtwara Imemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo kilo 400 za mbegu za korosho ili aweze kuzigawa kwa Wakuu wa Wilaya na hatimae kuwafikia wakulima kupitia Maafisa kilimo wa halmashauri …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI ANEEMESHA VIJIJI VITATU KWA KUVIPATIA EKARI MIA TATU SAME

Na Munir Shemweta, SAME Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ameshusha neema kwa vijiji vitatu vya Ndungu, Msufini na Mpirani vilivyopo tarafa Ndungu wilayani Same mkoani Kilimanjaro kwa kuvipatia ekari mia tatu vijiji vitatu. Hatua hiyo inafuatia wananchi wa vijiji hivyo kuomba kupatiwa sehemu ya ardhi …

Soma zaidi »

DKT. GWAJIMA AWATAKA WAKURUGENZI WA TAASISI KUAINISHA CHANGAMOTO NA MAHITAJI ILI KUTEKELEZA ILANI

Na. Catherine Sungura,WAMJW-DodomaWakurugenzi wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wametakiwa kuanisha changamoto na mahitaji yote yanayohitajika ili kuakisi na kutekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi na kuwezesha kuleta maendeleo katika sekta ya afya nchini. Hayo yamesemwa jana na Waziri wa Wizara …

Soma zaidi »

JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAIPONGEZA TANZANIA KWA MIRADI YA KIMKAKATI

Jumuiya ya Afrika Mashariki imeeleza kujivunia na miradi mikubwa nay a kimkakati inayotekelezwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwamba kukamilika kwake kutachochea ukuaji wa uchumi na biashara katika Jumuiya hiyo pia kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki anayeshughulikia …

Soma zaidi »