SHERIA, MWENENDO WA MASHAURI NA HUKUMU ZIANDIKWE KWA LUGHA YA KISWAHILI – DKT MWIGULU NCHEMBA

Waziri wa katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza na Menejimenti ya Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania) wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam tarehe 22 Disemba 2020.

Serikali imedhamiria kuwasaidia kwa umakini mkubwa wananchi katika tasnia ya sheria ambapo imeagiza kuanza haraka uandaaji wa sheria kwa lugha ya kiswahili ikiwemo mwenendo wa mashauri na hukumu.

Agizo hilo kwa katibu mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria  limeelekeza kutafutwa haraka iwezekanavyo wataalamu watakazitafsiri sheria zote zilizoandikwa kwa lugha ya kingereza na kuwa katika lugha ya Taifa ya kiswahili.

Ad
Naibu Waziri wa katiba na Sheria Mhe Geofrey Mizengo Pinda akisisitiza jambo wakati akizungumza na Menejimenti ya Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania) wakati akiwa katika ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam tarehe 22 Disemba 2020.

Waziri wa katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa agizo hilo tarehe 22 Disemba 2020 alipotembelea Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania) wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam.

“Kwenye kauli nzuri za kuvutia tunasema kiswahili ndio lugha nzuri tena ya kuvutia hivyo ni lazima tuanze kufundisha kwa kufuata muelekeo wa lugha ya Taifa ili kuachana na utumwa wa matumizi ya lugha za kikoloni katika sheria zetu” Amekaririwa Mhe Nchemba

Mkuu wa Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania) Jaji Dkt. BenhajjMasoud wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam tarehe 22 Disemba 2020.

Amesema kuwa Sheria ambayo mwananchi anahukumiwa imeandikwa kingereza, hukumu anayopewa imeandikwa katika lugha ya kingereza hilo ni eneo la haki za watu hivyo inapaswa kwanza lugha ya kiswahili ndiyo itumike kwenye sheria kisha lugha zingine kama kingereza ziwe nyongeza.

Dkt Mwigulu amesema kuwa Sheria zinaandikwa katika lugha ya kingereza na kuwaambia wananchi kutokujua kwao sheria sio sehemu ya utetezi jambo hilo ni kinyume na utaratibu hivyo lazima kufanya mapitio ya sheria zilizopo.

“Zipo nchi nyingi Duniani zimeendelea pasina kuwa zinajua lugha ya kingereza hivyo ni wajibu wetu sasa rasmi kuitumia lugha ya kiswahili” Amesisitiza

Waziri wa katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza na Menejimenti ya Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania) wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam tarehe 22 Disemba 2020.

Waziri Mwigulu amesema kuwa katika mikutano mingi ya usaili wa kazi inatumika lugha ya kingereza wakati huo huo viongozi wakuu wa usaili wanatumia lugha ya kiswahili katika familia zao, na hata kazini.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Geofrey Mizengo Pinda amesema kuwa uhitaji wa wataalamu wa kisheria katika maeneo mengi ni mkubwa hivyo taaluma hiyo inapaswa kutolewa kwa weledi mkubwa kwa maslahi makubwa ya Taifa.

Waziri wa katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba akikagua maabara ya Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania) wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam tarehe 22 Disemba 2020.

Na Mathias Canal, Wizara ya Katiba na Sheria-Dar es salaam

Amesema kuwa mahitaji ya msaada wa kisheria ni makubwa hivyo ni muhimu kuona ulazima wa kutembelea katika maeneo mbalimbali hususani vijijini kutoa msaada wa kisheria kwani kumekuwa na manyanyaso kwa wananchi wengi.

Ameongeza kuwa Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania ni sehemu ya ukombozi kwa wananchi hivyo kuna kila sababu ya kutengeneza chombo kama hicho kuwafikia wananchi kirahisi.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Askofu Dkt Maasa OleGabriel RAIS SAMIA ANATEKELEZA MAAGIZO YA MUNGU YA KUITUNZA BUSTANI YA EDENI

Askofu Dkt. Maasa OleGabriel Katibu Mkuu Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania na Askofu wa …

244 Maoni

  1. The story of Leo Messi https://inter-miami.lionelmessi.ae‘s transfer to Inter Miami began long before the official announcement. Rumors about Messi’s possible departure from Barcelona appeared in 2020

  2. Yacine Bounou https://al-hilal.yassine-bounou-ar.com known simply as Bono, is one of the most prominent Moroccan footballers of our time.

  3. Andreson Souza Conceicao https://al-nassr.talisca-ar.com known as Talisca, is one of the brightest stars of modern football.

  4. Harry Kane https://bayern.harry-kane-ar.com one of the most prominent English footballers of his generation, completed his move to German football club Bayern Munich in 2023.

  5. Brazilian footballer Neymar https://al-hilal.neymar-ar.com known for his unique playing style and outstanding achievements in world football, has made a surprise move to Al Hilal Football Club.

  6. Erling Haaland https://manchester-city.erling-haaland-ar.com born on July 21, 2000 in Leeds, England, began his football journey at an early age.

  7. Luka Modric https://real-madrid.lukamodric-ar.com can certainly be called one of the outstanding midfielders in modern football.

  8. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.ali-al-bulaihi-ar.com has long been one of the main sports, attracting millions of fans. In recent years, one of the brightest stars in Saudi football has been Ali Al-Bulaihi, defender of Al-Hilal Football Club.

  9. RDBox.de https://rdbox.de bietet schallgedammte Gehause fur 3D-Drucker, die eine sehr leise Druckumgebung schaffen – nicht lauter als ein Kuhlschrank. Unsere Losungen sorgen fur stabile Drucktemperatur, Vibrationsisolierung, Luftreinigung und mobile App-Steuerung.

  10. Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobebryant-ar.com also known as the “Black Mamba”, is one of the most iconic and iconic figures in NBA history.

  11. Karim Benzema https://al-ittihad.karimbenzema.ae is a name worthy of admiration and respect in the world of football.

  12. In 2018, the basketball world witnessed one of the most remarkable transformations in NBA history. LeBron James https://los-angeles-lakers.lebronjames-ar.com one of the greatest players of our time, decided to leave his hometown Cleveland Cavaliers and join the Los Angeles Lakers.

  13. Luis Diaz https://liverpool.luis-diaz-ar.com is a young Colombian striker who has enjoyed rapid growth since joining the ” Liverpool” in January 2022.

  14. Kevin De Bruyne https://manchester-city.kevin-de-bruyne-ar.com is a name every football fan knows today.

  15. Muhammad Al Owais https://al-hilal.mohammed-alowais-ar.com is one of the most prominent names in modern Saudi football. His path to success in Al Hilal team became an example for many young athletes.

  16. Angel Di Maria https://benfica.angel-di-maria-ar.com is a name that will forever remain in the memories of Benfica fans.

  17. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  18. Казахский национальный технический университет https://satbayev.university им. К.Сатпаева

  19. Upcoming fantasy MOBA https://bladesofthevoid.com evolved by Web3. Gacha perks, AI and crafting in one swirling solution!

  20. Kylie Jenner https://kylie-cosmetics.kylie-jenner-ar.com is an American model, media personality, and businesswoman, born on August 10, 1997 in Los Angeles, California.

  21. Bella Hadid https://img-models.bella-hadid-ar.com is an American model who has emerged in recent years as one of the most influential figures in the world of fashion.

  22. Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.

  23. Zinedine Zidane https://real-madrid.zinedine-zidane-ar.com the legendary French footballer, entered the annals of football history as a player and coach.

  24. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  25. Monica Bellucci https://dracula.monica-bellucci-ar.com one of the most famous Italian actresses of our time, has a distinguished artistic career spanning many decades. Her talent, charisma, and stunning beauty made her an icon of world cinema.

  26. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  27. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  28. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  29. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  30. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  31. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

  32. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  33. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  34. After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.

  35. The Formula One World Championship https://world-circuit-racing-championship.formula-1-ar.com, known as the Formula Championship in motor racing, is the highest tier of professional motor racing.

  36. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  37. современный дизайн интерьера https://dizayn-interera-doma.ru

  38. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

  39. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

  40. The Italian football championship https://italian-championship.serie-a-ar.com known as Serie A, has seen an impressive revival in recent years.

  41. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *