Maktaba ya Kila Siku: December 23, 2020

DAWASA WATEKELEZA AGIZO LA RAIS DKT. MAGUFULI LA KUFIKISHA HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA JIMBO LA UKONGA, KIFURU NA SEGEREA

Kufuatia agizo la Rais Dkt. John Magufuli la kutaka Mamlaka ya Maji safi na Majitaka Dar es salaam (DAWASA) kufikisha huduma ya Maji safi kwa wakazi wa Jimbo la Ukonga na Segerea kabla ya Disemba 25 Mwaka huu, hatimae DAWASA wametekeleza agizo hilo. Mapema leo Waziri wa Maji Jumaa Aweso …

Soma zaidi »

DKT. NDUGULILE ALITAKA BARAZA LA WATUMIAJI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WANANCHI

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amelitaka Baraza la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA – CCC) kushughulikia malalamiko ya wananchi na changamoto wanazozipata wakati wanatumia huduma na bidhaa za mawasiliano nchini Dkt.Ndugulile ameyasema hayo wakati wa ziara yake alipotembelea TCRA – CCC akiwa ameambatana na …

Soma zaidi »

WAITARA ATETA NA WAFANYABIASHARA CHUMA CHAKAVU, ARIDHISHWA KIWANDA CHA KUREJELEZA CHUPA ZA PLASTIKI

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mwita Waitara akiwa katika picha ya pamoja na wafanyabiashara wa chuma chakavu wa jijini Mwanza aliofanya kikao nao kwa lengo la kusikiliza changamoto zao na kutoa elimu ya utaratibu wa vibali. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mwita Waitara amewataka …

Soma zaidi »

BYABATO AKERWA NA CHANGAMOTO NDOGO ZA UKOSEFU WA UMEME

Kufuatia uwepo wa Changamoto mbali zinazohusu Umeme Maeneo mengi hapa Nchini, Naibu Waziri wa Nishati Adv. Stephen Byabato (Mb) ametoa mwelekeo wa Wizara husika katika kutafutia Ufumbuzi Kero sugu za Umeme zinazowakabili Wananchi ambao kipekee ndio Watumiaji wa Nishati hiyo. Naibu Waziri wa Nishati Adv. Stephen Byabato (Mb) Naibu Waziri …

Soma zaidi »