Maktaba ya Kila Siku: December 24, 2020

WATUMISHI HOUSING YATAKIWA KUTUMIA ‘FORCE ACCOUNT’ KATIKA MIRADI YA UJENZI WA NYUMBA

Na James Mwanamyoto – Dar es SalaamWatumishi Housing Company imetakiwa kuacha kuendelea kutumia Wakandarasi katika miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba za kuwauzia na kuwapangisha Watumishi wa Umma na badala yake watumie ‘force account’ ili kuokoa gharama na kujenga nyumba ambazo watumishi wataweza kupanga na kuzinunua. Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi …

Soma zaidi »

SERIKALI INATENGENEZA MAZINGIRA MAZURI KWA WAWEKEZAJI – WAITARA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mwita Waitara amesema Serikali inatengeneza mazingira mazuri kwa wawekezaji wanaofuata sheria. Waitara ametoa kauli hiyo leo Desemba 23, 2020 alipotembelea kiwanda cha Saji Packaging kinachojihusisha na uzalishaji wa vifungashio vya plastiki na kurejeleza taka za plastiki kilichopo Iliemela jijini …

Soma zaidi »

TANZANIA YASHIKA NAFASI YA PILI KIDUNIA NA YA KWANZA AFRIKA MASHINDANO YA TEHAMA

Waziri wa Mawasiliano na Teknollojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa mashindano ya TEHAMA ambapo Tanzania imeshika nafasi ya pili kidunia na ya kwanza Afrika. Tuzo hizo zimetolewa Dar es Salaam ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim …

Soma zaidi »