Maktaba ya Kila Siku: December 30, 2020

WACHIMBAJI WADOGO WATAKIWA KUWA NA SEHEMU YA PAMOJA YA KUCHENJUA DHAHABU ILI KUDHIBITI KUSAMBAA KWA MABAKI YA ZEBAKI

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mwita Waitara amewataka wachimbaji wadogo kuwa na sehemu ya pamoja na kuchenjua dhahabu ili kudhibiti kusambaa kwa mabaki ya zebaki. Waitara alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wachimbaji wadogo kwenye mgodi mdogo wa Blue Leaf …

Soma zaidi »

DKT. NDUGULILE AIPA SIKU 90 SHIRIKA LA POSTA KUBORESHA UTENDAJI NA UFANISI WAKE

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile (wa pili kulia) na Naibu Waziri wake, Mhandisi Kundo A. Mathew (wa kwanza kushoto) wakikagua moja ya kifurushi wakati wa ziara yake kwenye Shirika la Posta Tanzania, Dar es Salaam Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile …

Soma zaidi »