????????????????????????????????????

NAIBU WAZIRI WA ELIMU, ATEMBELEA OFISI ZA BODI YA MIKOPO

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru akimkakaribisha Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Omary Kipanga katika Ofisi za HESLB zilizopo Tazara Jijini Dar es Salaam wakati wa alipofanya ziara yake ya kikazi ya kuitembelea Ofisi ya HESLB, Tazara Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na menejimenti ya HESLB Jumatatu (Januari 4, 2020).
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga akisalimiana na Mkurugenzi wa Uchambuzi na Upangaji Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Dkt. Veronica Nyahende wakati wa ziara yake ya kikazi ya kuitembelea Ofisi ya HESLB, Tazara Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na menejimenti ya HESLB Jumatatu (Januari 4, 2020).
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga akisalimiana na Mkurugenzi Msaidizi wa Urejeshaji Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Phidelis Joseph wakati wa ziara yake ya kikazi ya kuitembelea Ofisi ya HESLB, Tazara Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na menejimenti ya HESLB Jumatatu (Januari 4, 2020).
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga akifurahia jambo na Mkurugenzi Msaidizi wa Upangaji Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) John Felix wakati wa ziara yake ya kikazi ya kuitembelea Ofisi ya HESLB, Tazara Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na menejimenti ya HESLB Jumatatu (Januari 4, 2020).
Ad

Unaweza kuangalia pia

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Awakaribisha Wawekezaji Katika Nishati ya Jotoardhi Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *