Maktaba ya Kila Siku: January 6, 2021

GEKUL ‘AWASHUKIA’ MAAFISA UVUVI WANAOSHIRIKIANA NA WAHALIFU

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul amesema kuwa hakuna haja ya kuendelea kuwa na Maafisa Uvuvi ambao wanashirikiana na wahalifu kufanya vitendo vya hujuma wakati kuna vijana wengi wenye nia njema ya kulitumikia Taifa wanahangaika na ajira. Gekul aliyasema hayo alipotembelea Kiwanda cha kuchakata samaki, Alpha kilichopo Vingunguti …

Soma zaidi »

MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO NI BARABARA YA DUNIA YA SASA YA KIDIJITALI – DKT. NDUGULILE

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile (wa pili kushoto) akimpongeza dereva wa kike pekee wa Wizara hiyo, Trust Kyando kwa utendaji kazi mzuri wakati wa kikao cha Waziri huyo na wafanyakazi wa Wizara hiyo. Wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula …

Soma zaidi »

WAZIRI AWESO AMUAGIZA KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI KUTENGUA UTEUZI WA MENEJA WA RUWASA MKOA WA MARA

Waziri wa Maji, Mhe.  Jumaa Aweso (Mb) amemtaka Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga kutengua uteuzi wa Meneja wa Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoa wa Mara, Mhandisi Sadick Chakka na mwenzake wa Wilaya ya Tarime Mhandisi Marwa Murasa kwa kushindwa kusimamia vyema …

Soma zaidi »

RC MAHENGE AMEAGIZA MKANDARASI KUTOLIPWA FEDHA HADI AREKEBISHE MAPUNGUFU KWENYE DARAJA ALILOJENGA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dokta Binilith Mahenge amemuelekeza Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dodoma Mhandisi Salome Kabunda kutomlipa mkandarasi Musons Engineering fedha hadi arekebishe ukuta alioujenga wa daraja la Chinyasungwi ambao umepinda. Dokta Mahenge ametoa maelekezo hayo Januari 5,2020 wilayani Mpwapwa akiwa katika ziara …

Soma zaidi »