Maktaba ya Kila Siku: January 7, 2021

WALIMU WAHAMASISHWA KUJIENDELEZA KIELIMU

Na Veronica Simba Serikali imewahamasisha Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari nchini, kujiendeleza kielimu katika ngazi mbalimbali ili kuboresha zaidi utendaji wao wa kazi. Wito huo umetolewa jijini Dodoma leo, Januari 7, 2021 na Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Moses Chitama wakati akizungumza na Wajumbe …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA – UBORA WA MIRADI ULINGANE NA THAMANI YA FEDHA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema miradi yote inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini lazima isimamiwe vizuri ili kuhakikisha inakuwa na viwango vinavyoendana na thamani ya fedha iliyotolewa na Serikali. “Maelekezo ya Serikali kwenye maeneo yote muhimu ya miradi isimamiwe kwa kina na hasa thamani ya fedha na viwango vya ujenzi wa …

Soma zaidi »