Hafla fupi ya utiaji saini wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR kutoka Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga km 341 kati ya Shirika la Reli Tanzania TRC na Ubia wa Kampuni mbili za Kichina, China Civil Engineering Construction Corporation CCECC na China Railway Construction Corporation Limited CRCC. Rais wa Jamhuri …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 8, 2021
SERIKALI IMETOA MIEZI MITATU KWA WENYE SHEHENA YA VIFUNGASHIO VISIVYOKIDHI VIWANGO VIONDOLEWA SOKONI
Serikali imetoa miezi mitatu kwa wenye shehena ya vifungashio visivyokidhi viwango vya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) vinaondolewa sokoni. Agizo hilo limetolewa leo Januari 8, 2020 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Ummy Mwalimu wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa …
Soma zaidi »WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA WANG YI ATEMBELEA MWALO WA SAMAKI WA CHATO MKOANI GEITA
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Mashimba Ndaki akimpatiamaelezo Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi kuhusu samaki waaina mbalimbali na minofu yao wanaopatikana katika Ziwa Victoriawakati mgeni huyo alipotembelea Mwalo wa Chato mkoani Geita mapemaasubuhi ya leo Ijumaa Januari 8, 2021 Waziri wa Mifugo na Uvuvi …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI BASHE AAGIZA TAKUKURU KUANZA UCHUNGUZI UPOTEVU WA MILIONI 150 ZA AMCOS YA CHABUMAA
Naibu Waziri Kilimo Hussein Bashe ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilaya ya Chamwino kuanza mara moja uchunguzi dhidi ya Viongozi wa Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Zabibu (CHABUMA AMCOS) katika wilaya hiyo; Waliochukua fedha kiasi cha shilingi milioni 150 ambazo zimetumika kinyume cha utaratibu. Naibu …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AZINDUA BARABARA YA MATEMWE -MUYUNI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua barabara ya Matemwe hadi Muyuni yenye urefu wa kilomita 7.58 iliyojengwa na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Cooperation (CCECC) kutoka China kwa gharama ya shilingi bilioni 5.48 zikiwa ni mkopo kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). “Barabara hii ni kiungo muhimu kwa wananchi …
Soma zaidi »