WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA WANG YI ATEMBELEA MWALO WA SAMAKI WA CHATO MKOANI GEITA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Mashimba Ndaki akimpatia
maelezo Waziri wa  Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi kuhusu samaki wa
aina mbalimbali na minofu yao wanaopatikana katika Ziwa Victoria
wakati mgeni huyo alipotembelea Mwalo wa Chato mkoani Geita mapema
asubuhi ya leo Ijumaa Januari 8, 2021
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Mashimba Ndaki na Waziri wa  Mambo
ya Nje wa China Mhe. Wang Yi wakipata maelezo kuhusu minofu ya samaki
wanaopatikana katika Ziwa Victoria wakati mgeni huyo alipotembelea
Mwalo wa Chato mkoani Geita mapema asubuhi ya leo Ijumaa Januari 8,
2021
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi akiongea na  wavuvi
na wadau wengine wa sekta ya uvuvi alipotembelea na mkujionea shughuli
mbalimbali zinazofanyika katika Mwalo wa  samaki la Chato Mkoani Geita
alikotembelea leo Ijumaa Januari 8, 2021 ikiwa ni siku ya pili ya
ziara yake nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa
Palamagamba Kabudi akimkaribisha rasmi nchini Waziri wa Mambo ya Nje
wa China Mhe. Wang Yi na ujumbe wake kabla ya kufanyika mazungumzo
rasmi wa pande hizo mbili mjini Chato mkoa wa Geita  leo Ijumaa
Januari 8, 2021 ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake nchini
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *