
maelezo Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi kuhusu samaki wa
aina mbalimbali na minofu yao wanaopatikana katika Ziwa Victoria
wakati mgeni huyo alipotembelea Mwalo wa Chato mkoani Geita mapema
asubuhi ya leo Ijumaa Januari 8, 2021

ya Nje wa China Mhe. Wang Yi wakipata maelezo kuhusu minofu ya samaki
wanaopatikana katika Ziwa Victoria wakati mgeni huyo alipotembelea
Mwalo wa Chato mkoani Geita mapema asubuhi ya leo Ijumaa Januari 8,
2021

na wadau wengine wa sekta ya uvuvi alipotembelea na mkujionea shughuli
mbalimbali zinazofanyika katika Mwalo wa samaki la Chato Mkoani Geita
alikotembelea leo Ijumaa Januari 8, 2021 ikiwa ni siku ya pili ya
ziara yake nchini

Palamagamba Kabudi akimkaribisha rasmi nchini Waziri wa Mambo ya Nje
wa China Mhe. Wang Yi na ujumbe wake kabla ya kufanyika mazungumzo
rasmi wa pande hizo mbili mjini Chato mkoa wa Geita leo Ijumaa
Januari 8, 2021 ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake nchini
Ad