RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA RAIS WA MSUMBIJI FILIPE NYUSI GEITA, AWEKA NAE JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA CHATO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji ambaye pia ni Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika Uwanja wa Ndege wa Geita aliyewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Januari 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji ambaye pia ni Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika Uwanja wa Ndege wa Geita aliyewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Januari 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulisha Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji ambaye pia ni Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika Uwanja wa Ndege wa Geita alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Januari 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji ambaye pia ni Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi kwa kuweka Jiwe la Msingi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Januari 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji ambaye pia ni Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakifunua pazia kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Januari 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima wakimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Msumbiji ambaye pia ni Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi kuweka jiwe la Msingi kwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita mara tu baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Januari 11, 2021
Muonekano wa mbele wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda,Chato.Waziri wa Afya,Dkt.Dorothy Gwajima amesema ujenzi wa hospitali hiyo ukikamilika itakuwa na majengo 13 na itahudumia wagonjwa 700 hadi 1,000 kwa siku.Aidha amesema kutafanyika upanuzi na kuongezwa huduma za kibingwa.
Ndege iliyomchukua Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto
Nyusi ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita aliyewasili nchini kwa
ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Januari 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakifurahia ngoma za utamaduni katika Uwanja wa Ndege wa Geita mara alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Janruari 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha kwa viongozi mbalimbali mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi aliopowasili ili kuweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita leo Jumatatu Janruari 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakisikiliza maelezo toka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Watoto kabla ya kuweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita leo Jumatatu Janruari 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakimsikiliza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Watoto baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita alikowasili kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Janruari 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Janruari 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya picha ya kuchora ya THE BIG FIVE mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Janruari 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshuhudia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akimwagilia maji mti alioupanda baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita alikowasili kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Janruari 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakimsikiliza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Watoto baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita alikowasili kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumatatu Janruari 11, 2021
Ad

Unaweza kuangalia pia

Mitazamo ya Uongozi ya Mhe. Ummy Ally Mwalimu katika Sekta za Afya, Maendeleo ya Jamii, na Haki za Watoto

Ummy Ally Mwalimu ameonyesha mitazamo ya uongozi yenye mwelekeo wa kujali maendeleo na ustawi katika …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *