Maktaba ya Kila Siku: January 12, 2021

MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AMPONGEZA NA KUMSHUKURU FLAVIANA MATATA KWA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU CHALINZE

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amempongeza na kumshukuru Mwanamitindo wa Kimataifa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Flaviana Matata, Bi.Flaviana Matata kwa kujitoa kwake kusaidia masuala ya elimu ndani ya Jimbo hilo. Awali akizungumza wakati wa kutoa shukrani zake kwa mwanamitindo huyo, Mbunge Ridhiwani Kikwete alisema wameupokea kwa mikono …

Soma zaidi »