Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanashusha usimamizi wa masuala ya ardhi kwa watendaji wa mitaa na vijiji na sio kwa wenyeviti wa mitaa na vijiji kama ilivyo sasa ili kuepuka migogoro ya ardhi, ujenzi holela na kurahisisha ufuatiliaji …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 13, 2021
KAIMU KATIBU MKUU NISHATI, AKAGUA ENEO LA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA MAJI YA MTO RUHUDJI
Muonekano wa sehemu moja ya eneo la Mto Ruhudji ambalo limegawanyika mara mbili katika eneo moja, utakapojengwa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya mto huo, lililopo kati ya Kijiji cha Itipula na Lupembe, Wilayani Njombe Mkoani Njombe, Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja …
Soma zaidi »WAZIRI MWAMBE ATOA UFAFANUZI WA UPATIKANAJI WA MAFUTA YA KUPIKIA NCHINI
Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe amewahakikishia wananchi kuwa hali ya upatikanaji wa mafuta ya kula itatengemaa mara baada ya kuanza upakuaji wa mafuta ya kula yanayoingizwa kutoka nje ya nchi kupitia bandari yetu ya Dar es salaam. Changamoto ya uhaba wa mafuta ya kula umetokana na upungufu wa …
Soma zaidi »