Maktaba ya Kila Siku: January 14, 2021

NAIBU WAZIRI KASEKENYA AWATAKA WATENDAJI KUFANYA MAAMUZI

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (aliyevaa suti ya kaki) katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Uchukuzi, lililofanyika kwa siku mbili mkoani Mwanza Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameitaka menejimenti na viongozi wa taasisi wa Sekta ya Uchukuzi …

Soma zaidi »

MKOA WA RUVUMA WAONGOZA KITAIFA MARA MBILI MFULULIZO KWA UZALISHAJI WA CHAKULA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Chritina Mndeme amewapongeza wakulima Mkoani Ruvuma kwa kuongoza mara mbili mfululizo kitaifa katika uzalishaji wa mazao ya chakula nchini. Mndeme ametoa pongezi hizo wakati anafungua Kikao cha Kamati ya Ushauri Mkoa wa Ruvuma kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea mjini Songea. Akizungumzia muhtasari wa …

Soma zaidi »

WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI AMTAKA MKANDARASI UJENZI DARAJA LA MAGUFULI JIJINI MWANZA KUTOA AJIRA ZA VIBARUA KWA WAZAWA

Muonekano wa sasa wa Daraja la Kigongo-Busisi, lenye urefu wa wa mita 3200, na barabara unganishi (km1.66). Daraja hili linagharamiwa na Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kwa asilimia 100. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli  jijini Mwanza, kutoa ajira …

Soma zaidi »

WALIOKAIDI MKATABA WA NARCO KIKAANGONI NDANI YA SIKU KUMI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ametoa siku kumi kwa Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) kubaini na kuwanyang’anya maeneo, wawekezaji waliopatiwa vitalu katika ranchi za taifa ambao wamebadili matumizi ya ardhi kinyume na makubaliano ya mikataba yao. Waziri Ndaki amebainisha hayo jana (12.01.2021) wakati alipotembelea Ranchi ya …

Soma zaidi »