Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo wakati akielezea kuhusu ujenzi wa Majengo Mapya ya Shule hiyo ya Ihungo Sekondari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu Profesa Joyce …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 18, 2021
WAZIRI MWAMBE AWATAKA WATUMISHI WA BARAZA LA USHINDANI (FCT) KUFANYA KAZI KWA WELEDI
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe (Mb) aliwasihi wafanyabiashara kuwasilisha rufaa zao iwapo hawakuridhika na maamuzi yanayotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nishati (EWURA, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri na Usalamawa Anga (TCAA), Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa nchi kavu LATRA, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania …
Soma zaidi »TARURA SINGIDA YAOKOA ZAIDI YA BILIONI 1.8 UJENZI WA DARAJA WILAYANI MANYONI
Watendaji wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Wilaya ya Manyoni wakikagua daraja hilo. Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk. John Magufuli kupitia watendaji waaminifu wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) imeokoa zaidi ya bilioni 1.8 kwenye ujenzi ambao tayari umekamilika wa daraja la …
Soma zaidi »SIMBACHAWENE: ASKARI WATAKAOSHINDWA KUWABAINI WAHAMIAJI HARAMU NCHINI ‘NITAFAGIA’
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza wakati akifungua mafunzo ya uongozi kwa maafisa na askari wa uhamiaji katika kambi mpya ya Boma Kichaka Miba, iliyopo Wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga. Amesema askari watakaoshindwa kuwabaini Wahamiaji haramu hususani maeneo ya mipakani wanapoingilia watawajibishwa. Kulia ni Mkuu wa …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI MULEBA NA KEMONDO AKIWA NJIANI KUELEKEA BUKOBA MKOANI KAGERA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Muleba wakati akiwa njiani kuelekea Bukoba mkoani Kagera tarehe 17 Januari 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kemondo wakati akieleka Bukoba mjini mkoani …
Soma zaidi »HOSPITALI YA UHURU YAANZA KUTOA HUDUMA
Katibu wa kuratibu shughuli za Serikali kuhamia Dodoma Meshack Bandawe akizungumza jambo na manesi wanaofanya kazi katika hospital ya uhuru iliyopo Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.Hospitali hiyo ambayo ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 99.8, imeanza kutoa huduma kwa wagonjwa wa nje. Hospitali ya Uhuru inayojengwa kwa gharama za bilioni 3.9 …
Soma zaidi »