Maktaba ya Kila Siku: January 19, 2021

MWAKALINGA AKAGUA MIFUMO YA TEHAMA KUFUATILIA UTENDAJI WA MIZANI

Mhandisi Kashinde Musa akifafanua jambo kwa baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) wakati menejimenti hiyo ilipotembelea chumba maalumu chenye mifumo ya TEHAMA kitakacho iwezesha Wizara kufuatilia kwa karibu utendaji wa mizani, barabara, viwanja vya ndege, karakana pamoja na vivuko. Mhandisi Kashinde Musa …

Soma zaidi »

DKT CHAULA AONGOZA WIZARA YA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI KUANDAA MPANGO MKAKATI WA UTENDAJI KAZI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Zainab Chaula ameongoza Menejimenti, maafisa waandamizi na wawakilishi wa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kuandaa Mpango Mkakati wa utendaji kazi na ufuatiliaji kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, kazi itakayofanyika kwa siku 12 katika …

Soma zaidi »

DKT. NDUGULILE AWATAKA TTCL KUONGEZA UBUNIFU NA UTAFITI WA MASOKO YA HUDUMA NA BIDHAA

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile akisisitiza jambo wakati akifunga kikao cha Mameneja wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Jim Yonazi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia …

Soma zaidi »