KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA YAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS -MUUNGANO

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mwita Waitara akizungumza wakati wa kikao cha kupokea na kujadili Taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo Januari 20,2021. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Josepoh Sokoine.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mohamed Mchengerwa akiongoza kikao cha kupokea na kujadili Taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo Januari 20,2021.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mhe. Mohamed Mchengerwa wakiwa katika lkikao cha kupokea na kujadili Taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo Januari 20,2021.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalimu akifafanua jambo wakati wa kikao cha kupokea na kujadili Taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo Januari 20,2021.
Mkurugenzi wa Idara ya Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (kulia) pamoja na Mkurugenzi Msaidizi Idara hiyo Lupi Mwaikambo wakiwa katika kikao cha kupokea na kujadili Taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo Januari 20,2021.
Ad

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Luanda nchini Angola tarehe 08 Aprili, 2025

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *