Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akiwa ameambata na akikagua ujenzi wa vymba vya madarasa vinavyoenga katika Manispaa hiyo, katika ziara hiyo ameambatana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM, watendaji pamoja na kamati ya ulinzi na usalama. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo ameipongeza Manispaa …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 21, 2021
KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI, MALIASILI NA UTALII JIJINI DODOMA
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao cha kwanza na Viongozi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kumbi za Bunge jijini Dodoma. Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao cha …
Soma zaidi »KAMATI YA MIUNDOMBINU YAPONGEZA WIZARA KUANZA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO YA VIFURUSHI
Na Prisca Ulomi, WMTH Wizara Mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iliyoundwa tarehe 5 Desemba, 2020 imekutana kwa mara ya kwanza na kufanya kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Dodoma Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa menejimenti na wakuu wa …
Soma zaidi »WIZARA YA ARDHI KUANZA UHAMASISHAJI UTEKELEZAJI MPANGO KABAMBE JIJI LA DODOMA
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inatarajiwa kuanza utekelezaji Mpango Kabambe wa jiji la Dodoma kwa kuanza kuhamasisha wananchi wa kata za Mpunguzi na Matumbulu kufanya maendeleo kwa kuzingatia mpango huo. Timu ya Wataalamu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi …
Soma zaidi »DKT GWAJIMA AWASILISHA MAJUKUMU, MUUNDO WA WIZARA YA AFYA KWA KAMATI YA BUNGE
Na Mwandishi wetu, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, kwa mara ya kwanza imekutana na wataalam wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na kupokea taarifa za Muundo na majukumu ya Idara na vitengo ndani ya Wizara hiyo. Taarifa hiyo …
Soma zaidi »MSAJILI AWA ‘MBOGO’ KWA WAFAMASIA WANAOKIUKA MAADILI.
Na Rayson Mwaisemba WAMJW- DomMsajili wa Baraza la Famasi nchini Bi Elizabeth Shekalaghe ametoa siku 14 kwa wafamasia wanaosimamia famasi ambazo hazipo katika maeneo yao ya kazi kujisalimisha katika Baraza hilo.Bi. Shekalaghe ametoa agizo hilo leo wakati akiongea na maafisa habari wa Wizara ya Afya katika ofisi zake zilizo katika …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AAGIZA KODI NA TOZO ZA MKONGE ZIFANYIWE MAPITIO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo ifanye mapitio ya kodi na tozo zote zilizopo katika zao la mkonge kwa lengo la kubaini ni zipi zenye manufaa kwa wadau na Taifa na kuainisha zisizokuwa na tija ili zifanyiwe mchakato wa kuondolewa. Pia, Waziri Mkuu alizitaka taasisi za kifedha nchini ziendelee …
Soma zaidi »WAZIRI KALEMANI APONGEZWA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI KWA KASI YAKE YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imempongeza Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani kwa kasi yake ya kusambaza umeme vijijini ambapo hadi sasa zaidi ya asilimia 80 ya vijiji vyote nchini vimepelekewa huduma ya umeme.Pongezi hizo zimetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya …
Soma zaidi »WAZIRI WA MADINI AKUTANA NA UONGOZI MPYA WA KAMPUNI YA TANZAM 2000
Na Greyson Mwase Waziri wa Madini, Doto Biteko leo tarehe 20 Januari 2021 amekutana na uongozi mpya wa kampuni ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya TANZAM 2000 jijini Dodoma uliofika kwa lengo la kujitambulisha. Kikao hicho pia kimeshirikisha Kamishna wa Madini, Mhandisi David Mulabwa, Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara …
Soma zaidi »