Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Dkt.Damas Ndumbaro akitoa ufafanuzi na maelekezo kwa viongozi wa Taasisi za Uhifadhi kuhusu masuala mbalimbali ya kuendeleza na kuimarisha uhifadhi hapa nchini mara baada ya kutembelea shamba la Miti Biharamulo -Chato mkoani Geita. Kamishna Mhifadhi Misitu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 22, 2021
WAZIRI MKUU ACHANGISHA SH. MILIONI 18.9 KUMSAIDIA MTOTO MIRIAM
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameendesha harambee ya papo kwa papo na kuchangisha sh. milioni 18.9 ambapo kati ya hizo, sh. milioni 10 zimetolewa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akifuatilia tukio hilo kupitia Televisheni. Fedha hiyo ilichangishwa kwa ajili ya Miriam Msagati, binti mwenye ulemavu wa mwili ili ziweze …
Soma zaidi »BALOZI IBUGE AKUTANA, KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWANANSHERIA MKUU WA ZANZIBAR
Na Nelson Kessy, Zanzibar Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akutana na kufanya mazungumzo na Mwanansheria Mkuu wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji katika Afisi za Mwanasheria Mkuu mjini Zanzibar Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano …
Soma zaidi »MAJALIWA – SERIKALI IMEDHAMIRIA KUFUFUA ZAO LA MKONGE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kufufua zao la mkonge nchini, hivyo amewataka Watanzania wachangamkie fursa hiyo kwa kujenga viwanda vya kuchakata bidhaa mbalimbali zitokanazo na zao hilo kama sukari, dawa, vinywaji, mbolea na nyuzi. Ametoa kauli hiyo Alhamisi, Januari 21, 2021 wakati akizungumza na wananchi baada ya kukagua …
Soma zaidi »TWIGA CEMENT YAMKABIDHI RC KUNENGE MIFUKO 800 YA SARUJI, UJENZI WA MADARASA DAR
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge Januari 21 amepokea mchango wa mifuko 800 ya Saruji kutoka Kiwanda cha Twiga Cement, kama sehemu ya kuunga mkono jitiada za Serikali ya Mkoa huo Katika kutatua changamoto za uhaba wa Vyumba vya madarasa. Akipokea Mchango huo RC Kunenge amesema Saruji …
Soma zaidi »KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA YAKUTANA NA WATENDAJI OFISI YA WAZIRI MKUU JIJINI DODOMA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajirana Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akiwasilisha maelezo ya Ofisiya Waziri Mkuu kuhusu Muundo na Majukumu ya Ofisi hiyo, Sera, Uratibuna Bunge pamoja na Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu mbele yaWajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya …
Soma zaidi »KAMATI YA BUNGE YA SHERIA NDOGO YAKUTANA NA WATENDAJI OFISI YA RAIS TAMISEMI JIJINI DODOMA
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe. David Silinde (Katikati,) akiwa katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Sheria Ndogo kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, kulia ni KatibuMkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Joseph Nyamhanga. Wizara hiyoiliwasilisha mada kuhusu Mchakato wa utungaji wa Sheria Ndogo zaHalmashauri. …
Soma zaidi »