Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajirana Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akiwasilisha maelezo ya Ofisiya Waziri Mkuu kuhusu Muundo na Majukumu ya Ofisi hiyo, Sera, Uratibuna Bunge pamoja na Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu mbele yaWajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria katika ofisiza Bunge Jijini Dodoma.