Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoani Dodoma kuwa, ndani ya kipindi cha miezi sita kuanzia sasa, Vijiji na maeneo yote ya mkoa huo yawe yamepata umeme, kuunganisha na kuwawashia wateja, atakayeshindwa kutekeleza hilo atakuwa amejifukuza kazi mwenyewe. Dkt. Kalemani alisema hayo, wakati wa …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 23, 2021
SHILINGI TRILIONI 18 ZINAPITA KWENYE HUDUMA YA FEDHA MTANDAO KWA MWEZI
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile akifafanua jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati wa kikao chake na wajumbe wa Kamati hiyo Bungeni, Dodoma. Wa pili kushoto aliyeketi ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Kundo Mathew na wa tatu kushoto …
Soma zaidi »SERIKALI KUWEKA NGUVU UZALISHAJI WA MAZAO YA MAFUTA NCHINI
Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema serikali inaweka nguvu kubwa katika uzalishaji wa mazao ya mafuta ili kukabiliana na changamoto ya uhaba wa mafuta inayotokea nchini na kupunguza kuagiza mafuta kutoka nje ya nchi. Akizungumza leo mara baada ya kutembelea kiwanda cha mafuta ya alizeti cha PYXUS kilichopo Kizota …
Soma zaidi »MWONGOZO WA UTOAJI WA CHANJO ZA MIFUGO NCHINI WAZINDULIWA, KULINDA AFYA YA MNYAMA
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki amezindua mwongozo wa utoaji wa chanjo dhidi ya magonjwa ya mifugo nchini, wenye lengo la kuhakikisha sekta binafsi na umma zinajua haki na wajibu katika zoezi zima la utoaji wa chanjo na kuhakikisha afya ya mnyama inabaki salama. Waziri Ndaki amebainisha hayo (22.01.2021) …
Soma zaidi »