Maktaba ya Kila Siku: January 23, 2021

TANESCO DODOMA YAPEWA MIEZI 6, MAKAO MAKUU YA NCHI KUPATA UMEME YOTE

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoani Dodoma kuwa, ndani ya kipindi cha miezi sita kuanzia sasa, Vijiji na maeneo yote ya mkoa huo yawe yamepata umeme, kuunganisha na kuwawashia wateja, atakayeshindwa kutekeleza hilo atakuwa amejifukuza kazi mwenyewe. Dkt. Kalemani alisema hayo, wakati wa …

Soma zaidi »

MWONGOZO WA UTOAJI WA CHANJO ZA MIFUGO NCHINI WAZINDULIWA, KULINDA AFYA YA MNYAMA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki amezindua mwongozo wa utoaji wa chanjo dhidi ya magonjwa ya mifugo nchini, wenye lengo la kuhakikisha sekta binafsi na umma zinajua haki na wajibu katika zoezi zima la utoaji wa chanjo na kuhakikisha afya ya mnyama inabaki salama. Waziri Ndaki amebainisha hayo (22.01.2021) …

Soma zaidi »