RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA MGENI WAKE RAIS WA ETHIOPIA SAHLE-WORK ZEWDE ALIYEWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha kwa viongozi mbalimbali mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Ndege iliyomchukua Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde ikwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea kwa furaha na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia wakati mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde akipiga ngoma za kikundi cha utamaduni mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia picha ya kuchora ya mlima Kilimanjaro mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde walipowasili Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia kinyago cha Kikmakonde cha “UJAMAA” mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde walipowasili Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi yan siku moja.

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUMSHUSHA MAMA NDOO KICHWANI – MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Meneja wa RUWASA Wilaya ya Kilwa, kufanya utafiti wa kina …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.