UWASILISHWAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA TBS KWA KAMATI YA KUDUMU YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Yusuph Ngenya akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya TBS kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Bungeni Dodoma, Januari 25,2021.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akijibu hoja mbalimbali zinazohusu Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Bungeni Dodoma, Januari 25,2021.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. Askofu Josephat Gwajima akichangia baadhi ya hoja zinazohusu Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Bungeni Dodoma, Januari 25,2021.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. David Mwakiposa Kihenzile akiongoza kikao cha uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Bungeni Dodoma, Januari 25,2021.

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUMSHUSHA MAMA NDOO KICHWANI – MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Meneja wa RUWASA Wilaya ya Kilwa, kufanya utafiti wa kina …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.