Maktaba ya Kila Siku: January 26, 2021

WAZIRI NDAKI AAGIZA KUKAMATWA MARA MOJA WATUHUMIWA 67 WA UTOROSHAJI WA MIFUGO NA MAZAO YAKE

Na. Edward Kondela Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ameliagiza jeshi la polisi nchini kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo, kuwasaka na kuwamakata mara moja watuhumiwa 67 wa utoroshaji wa mifugo na mazao yake. Waziri Ndaki amebainisha hayo leo (26.01.2021) mjini Dodoma, katika ofisi za Wizara ya Mifugo …

Soma zaidi »

DK. AKWILAPO AIPONGEZA CSSC KWA KUTOA ELIMU BORA NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk.Leonard Akwilapo, ameipongeza Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii(CSSC),kwa mchango wake katika sekta ya elimu nchini huku akiahidi serikali kufanyia kazi maoni yanayotolewa ikiwamo kupunguza kwa mitihani ya majaribio. Akifungua leo Mkutano wa mwaka cha Wakuu wa Shule za Sekondari na Msingi …

Soma zaidi »

NDUGULILE ATOA ONYO KWA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO KUVUJISHA TAARIFA BINAFSI ZA WATEJA

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile (katikati mwenye suti ya bluu) akishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa kupeleka mawasiliano vijijini baina ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mtendaji Mkuu Justina Mashiba na Kampuni ya simu ya Tigo, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Dodoma. Kulia kwake …

Soma zaidi »

DKT. MPANGO AWAAGIZA WATUMISHI WA WIZARA HIYO KUACHA KUFANYAKAZI KWA MAZOEA

Na. Saidina Msangi na Farida Ramadhani, WFM, Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), amewaagiza wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango kuacha kufanya kazi kwa mazoea ili kuhakikisha Serikali inapata mafanikio makubwa Zaidi ya kukuza uchumi wan chi na kuboresha maisha ya wananchi. Alitoa …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI BYABATO AITAKA TANESCO ISHIRIKIANE NA MBUNIFU WA MTAMBO WA KUFUA UMEME KWA KUTUMIA SUMAKU KUTENGENEZA MTAMBO MWINGINE MPYA

Naibu Waziri wa Nishati Stephen Byabato akisoma kipimo cha umeme kinachotumika kupima kiwango cha umeme kinachozalishwa kwenye mtambo wa kufua umeme kinachoitwa (Clamp digital meter) kipimo hicho kimethibitisha kuwa, umeme unaozalishwa na mtambo uliobuniwa na Mbunifu Rojers Msuya unakidhi viwango vyote vya TANESCO. Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato, …

Soma zaidi »