Maktaba ya Kila Siku: January 28, 2021

RAIS DKT. MWINYI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MAELEWANO (MoU) UJENZI WA BANDARI MANGAPWANI NA MJI WA KISASA BUMBWINI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza baada ya kumalizika utiaji wa Saini Hati ya Maelewano (MoU)  ya ujenzi wa Bandari ya Mwangapwani na ujenzi wa Mji wa Kisasa Bumbwini Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. Makamu wa Pili …

Soma zaidi »

CHUO CHA UHASIBU ARUSHA CHASAINI MKATABA NA TFF KUENDELEZA SOKA NCHINI.

Na: Eleuteri Mangi- WHUSM, Arusha. Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano na Shirikisho la Soka nchini (TFF) ili kuendelea kukuza michezo nchini. Rais wa TFF Wales Karia Kushoto na Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha Prof. Eliamani Sedoyeka Kulia Wakionesha Mkataba wa Ushirikiano Waliosaini Kuendeleza …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI WA NISHATI ATEMBELEA UJENZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA DEGE KIGAMBONI

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Neema Mushi Meneja wa Usafirishaji Umeme Makao Makuu ya Tanesco wakati  alipotembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa kinachojengwa wilayani Kigamboni kikigharimu jumla ya shilingi Bilioni 26. Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI UMMY ATAKA MASUALA YA WATU WENYE ULEMAVU KUJUMUISHWA NA KUJADILIWA KWENYE MABARAZA YA MKOA NA WILAYA

Sehemu ya Viongozi wa Shirikisho la Watu Wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) Mkoa wa Tabora na watendaji katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakisikiliza kwa makini maelezo ya Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga (hayupo pichani) alipofanya ziara ya kikazi katika mkoa huo. …

Soma zaidi »